Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

Uhondo juu ya uhondo huwa siku zote burdan hupata kusoma maandishi yako keep it up
 
Mhhhhh. Haya The Bold nimekupata. Nimewamalizia utamu waliolala. Wakiamka kazi kwao. Nimefurahi kusoma mtu wa nane. Safi.
 
Baba Bite aisee jana nilitingwa nimemisi vitu kwa wakati wake ila The Bold weka mbali na watoto
 
"Please Ray,usiseme chochote just hold me tight (JUST HOLD ME TIGHT)
Nngejua nngeisoma jioni maana hali mbaya Ray na Cheupe wana makusudi sana mfyuuu zao
Ahsante mkuu The Bold
Hadi kamudi ka kazi kamepungua vimawazo vinawaza kwingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…