Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

App imefanyiwa marekebisho mkuu,sasa hivi ukiwa mentioned unaletewa notification...nimefurahije sasa?[emoji39]
Hujambo wifi wa mimi
Afadhali aisee maana ilikuwa mateso
 
"Please Ray,usiseme chochote just hold me tight (JUST HOLD ME TIGHT)
Nngejua nngeisoma jioni maana hali mbaya Ray na Cheupe wana makusudi sana mfyuuu zao
Ahsante mkuu The Bold
Hadi kamudi ka kazi kamepungua vimawazo vinawaza kwingine
Damnnn!!! kusikia haka kasauti kako tu umeamsha maruhani yootee yaliyo lala tangu jana, jambazi kuu anafurukuta ndabi ya pant, na hii suruali ya kitambaa niliyoivaa leo itaniaibisha ngoja nichomolee hili shati [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
Baba Bite na ww huna hata uvumilivu,basi toroka kidgo ukuje mara moja tuuuuuuuuuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…