Juma chief
JF-Expert Member
- Jun 6, 2016
- 2,764
- 2,368
Mnet.!! Nikisikiaga M-net huwa naashum Huyo mtu ametokea Morogoro au amekulia huko.. Miaka ya 90 wakazi wa Moro waliinjoi sana Mnet bure bure miaka ile..READERS DISCRETION IS STRONGLY ADVICED
umenikumbusha mbali sana..miaka ya 90 mnet chanel kupindi movie inakaribia kuanza lazima wakuletee tangazo hilo..[emoji1] [emoji1] ...
Unavyosema miaka ya 90 utadhani kizee gani sijui [emoji13] [emoji13] [emoji13]Mnet.!! Nikisikiaga M-net huwa naashum Huyo mtu ametokea Morogoro au amekulia huko.. Miaka ya 90 wakazi wa Moro waliinjoi sana Mnet bure bure miaka ile..
Hahahahahahah.! Acha kuniumbua..Unavyosema miaka ya 90 utadhani kizee gani sijui [emoji13] [emoji13] [emoji13]
The bold bwana
[emoji23] [emoji23]
nilikuwa nawafurahisha vijana wajione vidume pia, mwwenywe wajua vile siwezi geuza shingo kulia wala kushoto hata apite sepetu hapo, na wajua jinsi ninavojulia kukukaanga na kukugeuza kama chapati kisha nakukunywa kwa mchuzi wa pweza,, utamu huo nawezaje kuukosa hujui kuwa ww ni zaidi ya cheupe wa ray?, come on babyTatizo lako wivu mwingi na kususa wanaume hawasusagi
Umeniambia Clkey ni wangu ww unasherehesha kumbe kwa mlango wa nyuma unaimbisha.Bwana acha tabia kama za Baba Bite kujifanya anauza duka la vifaa vya ujenzi kumbe ni undercoverthanks, just waiting for you baby.
Sana brotherrrrrr, yaani ile kitu ilikua full freee,bora ingeendelea mnet na sio SUA TV [emoji342]Mnet.!! Nikisikiaga M-net huwa naashum Huyo mtu ametokea Morogoro au amekulia huko.. Miaka ya 90 wakazi wa Moro waliinjoi sana Mnet bure bure miaka ile..
Waoooh ndo maana kwako sipindui aiseenilikuwa nawafurahisha vijana wajione vidume pia, mwwenywe wajua vile siwezi geuza shingo kulia wala kushoto hata apite sepetu hapo, na wajua jinsi ninavojulia kukukaanga na kukugeuza kama chapati kisha nakukunywa kwa mchuzi wa pweza,, utamu huo nawezaje kuukosa hujui kuwa ww ni zaidi ya cheupe wa ray?, come on baby
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nilikuwa nawafurahisha vijana wajione vidume pia, mwwenywe wajua vile siwezi geuza shingo kulia wala kushoto hata apite sepetu hapo, na wajua jinsi ninavojulia kukukaanga na kukugeuza kama chapati kisha nakukunywa kwa mchuzi wa pweza,, utamu huo nawezaje kuukosa hujui kuwa ww ni zaidi ya cheupe wa ray?, come on baby
utamu huo hata kaburini nitaenda nawe, nashangaa ray anajipeleka jela anaacha utamu uraianiWaoooh ndo maana kwako sipindui aisee
Nami nilitaka kushangaa nan kakuroga mapema yote hii jamani hadi unaacha utamu wako
Mwenzako inabidi tu nirudi kwa mai swthat potato wangu
Hapo ss hapana ww ukitaka kutangulia nenda tuutamu huo hata kaburini nitaenda nawe, nashangaa ray anajipeleka jela anaacha utamu uraiani
siku zote nakuambiaga vijana hawajui mapenzi hawana ulimu mtamu wanataka kulelewa tu hao, usidanganyike mamitoMwenzako inabidi tu nirudi kwa mai swthat potato wangu
Mwanamke gani ataambiwa maneno matamu hvyo halaf apindue
Mwenyewe hapo umeshindwa nchombeza
Nachekechwa hadharani [emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]Mwenzako inabidi tu nirudi kwa mai swthat potato wangu
Mwanamke gani ataambiwa maneno matamu hvyo halaf apindue
Mwenyewe hapo umeshindwa nchombeza
πππ tuviziane tu hata mimi ctaki kutanguliaHapo ss hapana ww ukitaka kutangulia nenda tu
Lol tangulia ww nijaribu kwa Mkoroshokigoliπππ tuviziane tu hata mimi ctaki kutangulia
Mm navunga tuuu bwanaNachekechwa hadharani [emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
pole sana kijana omba hata ushauri kwa The bold akupe mautundu shauri yakoNachekechwa hadharani [emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]