Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

HATA NIKIQUOTE HII NAJUA HAKUNA ATAKAYEMIND!
ahhahahahahahhahahahhaha
sio kwa punch hizi za dona na sato!
 
Teh teh teh, hajui kuwa mwanamke ni kubembelezwa, Waooo I love you my sweet Clkey, wewe ni mrembo kuliko cheupe wa The Bold, unapotebea hizo nyonga mimi hoi, wewe ndiyo Cleopatra wa zama hizi.

Wooow....... Love U.
Ayaaa ss utaua bendi ukisema zaid ya cheupe wa The Bold tutajikuta tunanyimwa hadithi
 
HATA NIKIQUOTE HII NAJUA HAKUNA ATAKAYEMIND!
ahhahahahahahhahahahhaha
sio kwa punch hizi za dona na sato!
Hahaaha we kichaa sana watu tupo kwenye madaladala utafanya turuke vituo [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…