Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

Hii EPISODE INARUHUSIWA KUWA QUOTED HATA MARA SITA!
WE quote tu!
2 times, a day
Mpk j5
Na zote utakuta likes, mpya
Hahahaha hivi ticha upogo....mic you sana......utamu kolea watu wanakuaga wakali sana uki quote uzi mrefu lakini kwa hiyo episode naona kuna wanaorudia hadi jtano hahaha hii kali
 
Hahahahahaha.! Nakujua mama..

Usiombe white Masai apandwe na hasira.. Utatamani ardhi ipasuke hahahahahaha

Ila mwenzako napendagaaaaaa ukinuna! kidomo chako kinavyokaaga sasa hahahahahahaha utadhani yule usalama bodigadi wa sizonje hahahahaahaha
Hahahahahaaaaa kumbe ndio maana siku hizi umezidisha kunichokoza eeeeh?
Sasa hivi nitabadili namna ya kukasirika [emoji12]
 
Mkuu, naona umenjibu kwa style ya nukuu 😛
 
Mnet.!! Nikisikiaga M-net huwa naashum Huyo mtu ametokea Morogoro au amekulia huko.. Miaka ya 90 wakazi wa Moro waliinjoi sana Mnet bure bure miaka ile..
kama ulijua mkuu...[emoji1] [emoji1] ..M-net kupitia sua....ilikuwa wali nazi.....[emoji1] [emoji1]..mji mpya na kilakala flat pamenihusu sana.....
 
Sorry,hawa characters wapya kina bolo yanki,kibo na mawenzi tunaomba wapewe scene nyingi zaidi!
Hawa ndio wamesimamia show dadadeki....Wako active kinomaaa....Bolo young ana kichwa kama uyoga vile ni nomaaaa.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…