Vipers SC waikejeli simba SC kwa kuiita zuwena fc

Vipers imekuwa timu kubwa kwasababu ilikuchapa bao 2 ukiwa nyumbani?
Ushabiki wa timu badala ya mpira ni mbaya sana😂 anyway nakukumbusha amesema timu kubwa Uganda mkuu sio Africa
 
Mwqzilishi kabw.il alisema ameacha wenzake wengi hapo utopoloni ukiwemo na wewe
Mbona umemkomalia sana huyo `kabwili'' kila nyuzi lazima nione unamtajataja. Nina mashaka juu yako
1. Huenda jamaa ni mume wako wa zamani. amekubwaga ndio unatolea stress humu

2. Unamshobokea/unatamani kuwa mke wake wa pili.

3. Alikufanya kitu kibaya huko nyuma ndio maana hutaki kumsahau.?
 
Ushabiki wa timu badala ya mpira ni mbaya sana😂 anyway nakukumbusha amesema timu kubwa Uganda mkuu sio Africa
Nakukumbusha kuwa kigezo kimoja wapo cha kuitambua Vipers kama timu kubwa ni pamoja na kuuza wachezaji ulaya
 
Nakukumbusha kuwa kigezo kimoja wapo cha kuitambua Vipers kama timu kubwa ni pamoja na kuuza wachezaji ulaya
Sawa mkuu Simba na yanga wameuza wachezaji gani?
 
Umegeuka tena kununua sio kuuza
Kuuza mchezaji ulaya na kununua mchezaji ulaya, ipi yenye uzito sana?

Kwasababu mchezaji aliyepo ulaya yupo kwenye radar za watu wengi, kila mmoja ana muangalia kwasababu ligi ya ulaya inafuatilia zaidi

Inapotokea kuna Club ya Afrika mashariki imenasa saini ya mchezaji kutoka ulaya sio habari ndogo, kwasababu umeweza ku competit na vilabu vingi vyenye uchumi mkubwa
 

Kuuza Ina uzito zaidi kwasababu ukiuza means una wachezaji wenye viwango vikubwa hivyo wanaenda ku compete na watu wenye viwango vikubwa zaidi na hiyo ipo wazi. Ila kununua hiyo tusidanganyane ukinunua mchezaji ulaya sio kwamba umewin game competition na timu za ulaya ni kuwa hawana uhitaji nae tena(useless)(kiwango kimeshuka) hatuna timu Tz inaweza kucompete kusajili mchezaji eti kwenye kumlipa na timu za ulaya au uarabuni hakuna sana sana utauza kwasababu utapewa Hela nyingi. Kununua aliye na performance nzuri aje huku toka ulaya hiyo bado sana
 
Scars na vipers tayari wameuza ulaya sisi hamna usiibeze mkuu ni timu kubwa
 
Hapana mkuu, kuuza haiwezi kuwa na uzito kwasababu ili ionekane ina uzito itabidi tuangalie competition ya clubs za kutoka ulaya zilizoonesha kugombea wachezaji kwenye club yako

Hakukuwa na competition kwenye Club ya Vupers kwasababu ya udogo wake


Ila angalia competition ya Club ya huko ulaya (ambayo mchezaji wa Yanga alitokea) inavyo gombewa na Club kubwa kwenye soko la manunuzi ya uchezaji
 
Unaumia wapi dogo ka.bwil beki hazikabi kwako
 

Baada ya kupata matokeo mabaya katika michezo saba mfululizo klabu ya Vipers(Uganda) imemfuta kazi kocha wao mkuu raia wa Brazil Beto Bianchi ambae alijiunga na klabu hiyo akichukua mikoba kutoka kwa Robertinho ambae alitimkia @simbasctanzania .

Bianchi toka amejiunga na Vipers hajapata ushindi wowote akiwa na kikosi hicho.

#scopeboii #scopesports
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…