Vipers siyo poa, kamng'oa Mazembe

Huyu mshenzi vipers sio kabisa wa kuomba kukutana naye....SIMTAKI,ANAKAMIA SANA
 
Wachambuzi wengi hawajui mpira wana mawazo mgando kwamba lazima ushinde nyumbani.
Wana msemo wao wanakwambia "kwa mpira wa Africa lazima ushinde nyumbani".

Mzee kushinda home ni muhimu sana ...ina maana nyie mlijaa uwanjani sku ile kushuhudia draw???,je mlifurahi matokeo yale??
 
Mazembe wamefukuza kocha

Hana mbinu tena,sasa mwaka jana katolewa hatua hii hii na cotton sport ya cameroon na msimu huu anatolewa na waganda ,wa kazi gani tena??
 
MAZEMBE WANAENDA SHIRIKISHO UTOPOLO WANAENDA SHIRIKISHO KAZI IPO [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Na Berkane wapo shirikisho, Al ahly tripol wapo huko pia
 
Kama MAZEMBE katolewa...je !...sisi SIMBA ni nani hata tushindwe kutolewa hasa ukizingatia PIRA lenyewe halieleweki na tunashinda NGEKEWA !!
 
Mazembe limebaki jina. Timu tishio Afrika kwa sasa ni Mamelod & Petro Atletico de Luanda.
 
Nasubiri wachambuzi uchwara waje na sababu za uongo uongo maana Mazembe kafanya pre season Zambia kacheza mechi za kutosha na kina Zesco, Azam na Red Arrows hao Vipers walikua kwao Uganda hawajaenda popote zaidi ya kuja kucheza bonanza na Yanga
Walienda Rwanda hao kucheza za kirafiki
 
Hana mbinu tena,sasa mwaka jana katolewa hatua hii hii na cotton sport ya cameroon na msimu huu anatolewa na waganda ,wa kazi gani tena??
Timu yao haina ubora kama zamani kocha anawajibiahwa tu ila Mazembe ile ya kina Treso Mputu, Samatta, Kalaba, Ulimwengu sio hii ya sasa ina draw na Azam
 
Nasubiri wachambuzi uchwara waje na sababu za uongo uongo maana Mazembe kafanya pre season Zambia kacheza mechi za kutosha na kina Zesco, Azam na Red Arrows hao Vipers walikua kwao Uganda hawajaenda popote zaidi ya kuja kucheza bonanza na Yanga
Uliifuatilia pre season ya Vipers au unaongeaa tu.
 
Nasubiri wachambuzi uchwara waje na sababu za uongo uongo maana Mazembe kafanya pre season Zambia kacheza mechi za kutosha na kina Zesco, Azam na Red Arrows hao Vipers walikua kwao Uganda hawajaenda popote zaidi ya kuja kucheza bonanza na Yanga
Kmbuka pia hao zesco na red arrows washatupwa nje,si ajabu azam akawa anafuatia kwa orodha hiyo. Pengine haikuwa selection sahihi ya mechi za kirafiki kwake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…