Vipers watoa kipigo kwa Kagera Sugar

Vipers watoa kipigo kwa Kagera Sugar

Soloma TV Online

Senior Member
Joined
Jun 26, 2023
Posts
104
Reaction score
291
Timu ya soka ya Vipers ya Uganda leo imeshinda katika mchezo wa kirafiki dhidi ya Kagera Sugar ya Tanzania.
FULL TIME: Vipers 2 - 1 Kagera Sugar
 
Kichwa chako cha habari kimekaa kishabikk sana. Mtu anaweza akafikiri labda wamefungwa 7-0! Kumbe ni 2-1!!
 
Back
Top Bottom