astrologist
JF-Expert Member
- Dec 9, 2018
- 221
- 268
Juzi jumatano mechi za ligi zlichezwa wakati wa lunch (saa nane). Coastal union vs Simba na Mtibwa vs Yanga . Lengo la bod ya ligi ilkuwa ni kutoa mwanya kwa mashabiki kujitokeza uwanja wa taifa kuipa support Serengeti boys, mechi ambayo ilianza kuchezwa saa kumi na moja jion, mechi iliisha kwa Mikumi boys (Serengeti boys) kupokea kichapo cha tatu bila kutoka kwa vijana wa Uganda!
Swali ni kwamba, je, na kesho mechi za ligi zitachezwa na saa nane mchana?
Swali ni kwamba, je, na kesho mechi za ligi zitachezwa na saa nane mchana?