Vipi bodi ya ligi na kesho mechi za ligi ni saa nane mchana, ili kupisha mechi ya Ngorongoro boys ( Serengeti boys)?

astrologist

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2018
Posts
221
Reaction score
268
Juzi jumatano mechi za ligi zlichezwa wakati wa lunch (saa nane). Coastal union vs Simba na Mtibwa vs Yanga . Lengo la bod ya ligi ilkuwa ni kutoa mwanya kwa mashabiki kujitokeza uwanja wa taifa kuipa support Serengeti boys, mechi ambayo ilianza kuchezwa saa kumi na moja jion, mechi iliisha kwa Mikumi boys (Serengeti boys) kupokea kichapo cha tatu bila kutoka kwa vijana wa Uganda!
Swali ni kwamba, je, na kesho mechi za ligi zitachezwa na saa nane mchana?
 
Kipindi akina Lipuli na timu nyingine ndogo zinachezeshwa mchana wa jua kali hatukusikia hizi kelele.
 
Hii tff ya sasa ni ndoto kwa soka la Tanzania kukua. Hata huyo Kocha wa Serengeti boys sijui ni rafiki yao wamempa shavu .sijui kama ana cv ya kufundisha vijana wenye vipaji kama wale . Tff hawajali afya za wachezaji kwa kuchezesha mechi na jua kali wamekosa maarifa ya kupanga ratiba hata wamekosa maarifa ya kuomba msaada wa wataalamu wawasaidie.
 
Hiyo ndiyo bodi ya ligi ya tifua tifua
 
bila shaka wewe ni chura, embu jaribu kufikiria kwa kutumia kichwa chenye ubongo
Wewe ndio hutumii akili. Ulikua wapi kupigia kelele hili jambo kipindi timu ndogo zinacheshwa mchana. Leo Simba na Yanga wanacheza mchana unaona tatizo. Huu upendeleo utaisha lini? By the way lazima utakuwa Mbumbumbu wewe.
 
Mwisho wa msimu hii bodi ya ligi ivunjwe maana imekosa weledi wakuongoza ligi na kupanga ratiba ni upuuzi mtupu hawa ndio wanazorotesha mpira wetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…