Vipi bodi ya mikopo na wanavyuo wa mwaka wa pili walio kosa mkopo mwaka wa kwanza. . . . .??

Vipi bodi ya mikopo na wanavyuo wa mwaka wa pili walio kosa mkopo mwaka wa kwanza. . . . .??

King kilipa

Member
Joined
Sep 23, 2011
Posts
11
Reaction score
0
Hivi hii bodi ya mikopo ambayo hudai imeishiwa fedha na inauwezo mdogo wa kifedha kuwakopesha wanavyuo pindi waanzapo vyuo, hivi huweza kuwalipia wanavyuo wa mwaka wa pili ambao walikosa mkopo mwaka wa kwanza au ndo huwatupia kisogo kwa kuto wasaidia mikopo miaka yote ? Nahitaji msaaada hapa.. . .. . Tafadhali
 
Kama umeweza kumudu kujilipia mwaka wa kwanza, uwezo unao.
 
Mwaka wa pl wote msubr wanavyuo wa mwaka wa kwanza 2pate hyo mikopo af na nyie ndo muanze kuzungumza ya kwenu cz mtaanza ku2boa ina maana nyie hamuelew kuwa group kubwa sn li2lokosa mkopo mwaka huu au ndo mnataka kukoroga mambo?
 
Kama umeweza kumudu kujilipia mwaka wa kwanza, uwezo unao.

sio kila anayeweza kujilipia mwaka wa kwanza ndo anauwezo wa kumudu gharama kwa mfan waweza kuweka shamba bondi / kuuza kwaajili ya karo
 
Mwaka wa pl wote msubr wanavyuo wa mwaka wa kwanza 2pate hyo mikopo af na nyie ndo muanze kuzungumza ya kwenu cz mtaanza ku2boa ina maana nyie hamuelew kuwa group kubwa sn li2lokosa mkopo mwaka huu au ndo mnataka kukoroga mambo?

oyo jomba hata mimi ni first yr wa mwaka huu ndo maana nimeuliza kwan hukuona tangazo la tareh 12/10/2011 toka kwenye hiyo idara inayojiita bodi
 
Haki ya nani tupeane msaada kuhusu hili ili tujue mapema manake da!
 
Wenzenu hapa udsm wameanza kuacha chuo..inauma sana wajamen.
 
sio kila anayeweza kujilipia mwaka wa kwanza ndo anauwezo wa kumudu gharama kwa mfan waweza kuweka shamba bondi / kuuza kwaajili ya karo

kama ulikuwa hauna uwezo ungeacha.
 
sema nini inatakiwa tu irekebishiwe bajeti ndo tutajua kama wanachakachua au vipi
 
Back
Top Bottom