Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,507
- 11,367
Lile ndilo kuzdhsytsdjhefdma yo zake...lisegdurtnzsyrgchsnge ayatollahNa Ile takataka ya kigoma mjini nayo imepigwa chini.
Ocampos alishastaafu mkuuTuna massacre ,tujikite ku adress uuaji wa IDD AMINI MAMA ili "OCAMPO" aruke naye.
Uongo CCM wameshinda majimbo 270 kati 272 majimbo mawili yamebebwa na ACTWatu wanasema Jimbo la Jerry Slaa limechukuliwa na Chaumma, sijui kuna ukweli gani?
Hawajapata ata 1% ya presidential votes🤣Umeniwahi uzi wangu nami ndiyo nilikuwa naandika kuuliza swali hasa Kigamboni kwa chawa Yerico Nyerere
ICC siku hizi wako chap cheki Kwa Putin na NetanyauTuna massacre ,tujikite ku adress uuaji wa IDD AMINI MAMA ili "OCAMPO" aruke naye.
Qmmmmmmq🤣🤣Lile ndilo kuzdhsytsdjhefdma yo zake...lisegdurtnzsyrgchsnge ayatollah
It is a dark history in our country kuwapoteza ndugu zetu, poleni saaaana Watanzania wenzangu.
Back to the topic G55 walijitoa Chadema na Kila siku walikuwa wanaitisha ma press conference kuiponda Kwa kugomea kushiriki uchaguzi.
Waliamua kushiriki uchaguzi, naomba kuuliza wameshinda majimbo mangapi?
Vipi
Catherine Ruge
Moza Ally
Yeriko Nyerere
Suzana Kiwanga
Aisha Madoga
Kaiza
N.k
Je Kwa kupata kura za urais less than 1% watapata kitu chochote Cha ubunge wa vitu maalumu?
Niitieni CHAUMMA
Kwamba na Yeriko ni Kiongozi🤣Sasa wanasubiria teuzi .....!!