Ochu. Member Joined Sep 15, 2013 Posts 75 Reaction score 81 Sep 28, 2013 #1 Je na wao wanaangalia kama freshners au wametengewa kivyao? msaada tafadhali..natanguliza samahani kwa usumbufu
Je na wao wanaangalia kama freshners au wametengewa kivyao? msaada tafadhali..natanguliza samahani kwa usumbufu
Mgumu04 JF-Expert Member Joined Jul 15, 2011 Posts 1,940 Reaction score 1,055 Sep 28, 2013 #2 nafikir wanawekwa kama freshierz hata mimi niliomba lakini wameninyima heslb noma!!!:frusty:
Abloodi Senior Member Joined Oct 27, 2011 Posts 165 Reaction score 12 Sep 28, 2013 #3 dah msala wajameni, kumbe tupo wengi eeeh
H halimbaya Member Joined Oct 10, 2011 Posts 63 Reaction score 15 Sep 28, 2013 #4 Nimekosa pia jamani....majanga
TAECOLTD JF-Expert Member Joined Mar 2, 2013 Posts 1,051 Reaction score 1,836 Sep 28, 2013 #5 Mi pia niliomba wameninyima na ni wa mwaka jana but mwaka huu wameninyima