Vipi continuos walioomba upya baada ya kukosa mwaka jana?

Ochu.

Member
Joined
Sep 15, 2013
Posts
75
Reaction score
81
Je na wao wanaangalia kama freshners au wametengewa kivyao? msaada tafadhali..natanguliza samahani kwa usumbufu
 
nafikir wanawekwa kama freshierz hata mimi niliomba lakini wameninyima heslb noma!!!:frusty:
 
Mi pia niliomba wameninyima na ni wa mwaka jana but mwaka huu wameninyima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…