Vipi Diamond alilipa kodi ya milioni 400 TRA

Decree Holder

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2015
Posts
2,559
Reaction score
3,745
Wanajamvi salaam!

Hivi karibuni msanii Diamond Platnumz alipelekewa taarifa ya TRA assessment ya kudaiwa kodi ya kiasi kisichopungua milioni 400,

Wadau mbalimbali walijitokeza kumtetea akiwemo profesa J lakini baada ya muda hii ishu imekuwa kimya swali ni je alilipa, amesamehewa na wameyamaliza kijanja?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nenda pale wcb, ukamuulize atakupa jibu sahihi zaidi. Hapa utapata tetesi tu

Sent from my Sony Xperia Z3 using JamiiForums mobile app
 
Tra ilikanusha kudaiwa kwake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…