vipi erolink

Joined
Dec 22, 2011
Posts
26
Reaction score
1
vipi wana jf,
hivi hii recruitment agency erolink ni ya ukwee kwa kusaidia watu kupata kazi au maana ma rafiki wangu wengi wanaifagilia sana na nimewahi kutuma cv yangu bila mafanikio au wanaangalia nini kwa mfano?
 
daah kiukweli huwa inawaonganisha kweli watu na kazi especialy customer cares pale vodacom,bt now days naona magumashi yameshaingia,baadhi huwa wanataka ela but ni kwa sili,na matatzo mengine ndo kama hayo ukipeleka hauitwi,na one thng i hate about the cmpny ni intervwz kama 5,yaan inachoshaa..but peleka tena mkuu.
 
pale bila hela upati mimi washikaji nawajua wale wanaohusika wanapenda sana hela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…