Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 2,228
- 3,045
Anatosha sana tu, acha tukicheza na Mamelodi ndio utamuelewa vizuri atapigwa mtu HamsaSwali ni je Gamond anatosha au hatoshi.
Robo FainaliGAmondi✅
Nabi✅
Ila Gamondi kaja Yanga kipindi ambacho tunataka aendelee kutuweka kwenye Peak
Hiyo Tension tunamuonea.
✅Robo Fainali
Nusu Fainali
Fainali
Mashabiki wengi tuHizo kauli huwa zinasemwa na Ma-mbumbumbu!
Ni wapi na lini umeona Wapenzi na mashabiki wa Klabu Bora Afrika ya Young Africans wakisema Gamondi Hafai?
Ila kweli Gamond kafanya makubwa afu anafunga mabao mengi sana Kwa kutumia viungoImetokea tu Gamond kutokubalika na wanaofanya hayo mara nyingi huwa ni wachambuzi na mashabiki wa Simba kwa kuanzisha kitu fulani cha kumkosoa. Mara utasikia rotation mara sijui hana mbinu alibebwa na Nabi lakini huyu kocha ni mwamba haswa. Aina yake ya mpira aisee haujawahi kupigwa mbugi kubwa kiasi hiki ndani ya kikosi cha Yanga. Msimu wake wa kwanza ndani ya Yanga ila ana achieve kikubwa ndani ya Yanga kitu ambacho hakijawahi kutokea. Kuna watu wanasema kuwa timu imejengwa na Nabi, kama mnadhani ni rahisi kuchukua timu mikono mwa mtu halafu uka maintain katika performance na kufanya vizuri zaidi kimataifa basi tumuulize huyo huyo Nabi kwanini kachukua Far Rabat iliyokuwa bora na bingwa wa ligi ya Morocco lakini kaishia raundi ya kwanza tu kwa kutolewa na Etoil du Sahel inayoburuza mkia kwa sasa kwenye kundi.
Yanga ilidhulumiwa haki yao kule Ghana kwa kunyimwa goli halali kabisa ambapo Yanga kabla hata ya mechi dhidi ya Belouizdad wangekuwa inaongoza kundi. Gamondi mpaka hapa kaifanyia makubwa Yanga akishirikiana na viongozi, na wachezaji. Big up kwake
Unaitamani sana MamelodiAnatosha sana tu, acha tukicheza na Mamelodi ndio utamuelewa vizuri atapigwa mtu Hamsa
Patrick Mutsepe unamjua?Unaitamani sana Mamelodi
Sasa fikiria kungekuwa na striker wawili wa maana wa kupokezana hali ingekuwaje? Kiufupi ameweza kuzitumia hizo hizo silaha alizonazo kuulia watu kikatili sana.Ila kweli Gamond kafanya makubwa afu anafunga mabao mengi sana Kwa kutumia viungo
Raisi wa CAF na Mamelod huyo. Ana hamu na achievement ya Mamelod, msimu huu kaishachukua AFL ana hamu na CAFCLPatrick Mutsepe unamjua?
Basi kitaeleweka,Raisi wa CAF na Mamelod huyo. Ana hamu na achievement ya Mamelod, msimu huu kaishachukua AFL ana hamu na CAFCL
Hakika Yanga-gwe yajayo
Kwa hio Simba apewe Mgunda?Kwa Yanga hii hata akipewa Mgunda anatamba tu.