Korona ilikuwa inamtafuta mtu mmoja tu, na yenyewe ikaondoka na haijarudi tena.Wadau habari ya mapambano,naomba kujua hali ya corona ipo vp hapo mitaa yenu, home kwangu familia nzima imepigwa na mafua makali sana. Na kwa upande wa wife dalili ndo kama zile za awamu ilee yaani mafua seriou, homa na maumivu ya mwili.
Naomba kuwasilish
Mafua huwa na tabia ya kusababisha homa kali na maumivu ya kichwa. Achana na mambo ya coronaWadau habari ya mapambano,naomba kujua hali ya corona ipo vp hapo mitaa yenu, home kwangu familia nzima imepigwa na mafua makali sana. Na kwa upande wa wife dalili ndo kama zile za awamu ilee yaani mafua seriou, homa na maumivu ya mwili.
Naomba kuwasilish
Huku huko, wapi kwani ukitaja eneo na wilaya kuna tatizo?Huku nilipo imekuwa kama mafua tu na juzi jamaa kaja kazini ana Corona amepima ni yenyewe
Ila kwa sababu wote tulichanja kinga hakuna aliepata mpaka sasa
Tumekubali kama kikohoo tu kwa sasa ila kama hukuchanja itakuumiza