Vipi hawa ma undegrounds Vs. Diamond Platnumz?

Vipi hawa ma undegrounds Vs. Diamond Platnumz?

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,128
Reaction score
21,885
hawa jamaa kila siku wanaibuka kutoa nyimbo za kumdiss diamond, lakini wapi jamaa bado ana fly high. Au wamegundua ni siri ya kutokea?
 

Attachments

dili za diamond mwenyewe kiintelinjensia inaitwa inside job .hao madogo watakuwa wanatumiwa na jamaa
 
Hata Roma kulikuwa na Anti-pope.

Wanamuziki wa bongo wana major record deal? Kama hawana wote ni boat moja tu.

Bongo popularity notwithstanding.
 
huyo dogo wa pili ana uwezo lakini kwa kukosa busara yeye na producer wake wamekuwa wajinga........laiti angetumia jina tofauti na watu wangebaki tu na sintofahamu lakini wimbo ungekuwa HIT na yeye angekuwa ametoka na nina uhakika angepata show nyingi, angefahamika na kupata pesa nyingi....sasa kwa akili zake ndogo kaona kumtukana Diamond ndio kuna tija kuliko yeye kujiendeleza........upumbavu mwingine ni majanga.....

Mwenzake Madee wimbo wa nani kamwaga pombe yangu umempa mafanikio makubwa ambayo nahisi hata huyu dogo angeweza kufuata nyayo hizo.

Lakini ilishasemwa akili ni nywele kila mtu ana zake.
 
Back
Top Bottom