huyo dogo wa pili ana uwezo lakini kwa kukosa busara yeye na producer wake wamekuwa wajinga........laiti angetumia jina tofauti na watu wangebaki tu na sintofahamu lakini wimbo ungekuwa HIT na yeye angekuwa ametoka na nina uhakika angepata show nyingi, angefahamika na kupata pesa nyingi....sasa kwa akili zake ndogo kaona kumtukana Diamond ndio kuna tija kuliko yeye kujiendeleza........upumbavu mwingine ni majanga.....
Mwenzake Madee wimbo wa nani kamwaga pombe yangu umempa mafanikio makubwa ambayo nahisi hata huyu dogo angeweza kufuata nyayo hizo.
Lakini ilishasemwa akili ni nywele kila mtu ana zake.