Vipi hili tangazo lingekuwa kwa Kiswahili pale Posta Mpya

Vipi hili tangazo lingekuwa kwa Kiswahili pale Posta Mpya

Masikini_Jeuri

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2010
Posts
6,829
Reaction score
1,303
vy3zmc.jpg
 
huyo jamaa aliyeliandika lazima aliboeka sana na uchafuzi wa mazingira....well limekaa kigaidi but liko poa kiaina....lyk it
 
Nafikiri Tanzania tunahitaji matangazo kama haya! :becky:
 
lol, huyo jamaa aliamua kiubabe sana!😛ound:😛ound:
 
Tatizo unawaandikia illiterate wakati illiterate hawajui kusoma.

Hilarious.
 
Tatizo unawaandikia illiterate wakati illiterate hawajui kusoma.

Hilarious.

hahahaha very fun, jamaa kafikisha ujumbe kwa wasiohusika, wahusika wanaona picha ya bango tu. Jamaa noma kweli.
 
Hili bango lazima limetundikwa huko majuu, haiwezekani ikawa bongo na likaandikwa kwa kingereza unless liko Lushoto na limeandikwa na January!!
 
Hili bango lazima limetundikwa huko majuu, haiwezekani ikawa bongo na likaandikwa kwa kingereza unless liko Lushoto na limeandikwa na January!!

hahaha kiongozi umenivunja mbavu sana
 
he he he heee!! huyu lazima ubongo wake upo nusu. Miaka na miezi kadhaa ikipita akirudi tena kulisoma hilo bango lazima na yeye acheke. Si mchezo!!
 
Tangazo bomba kweli. Hili linafaa kuwa pale manzese au mitaa ya vingunguti kwetu
 
Kibongo bongo watu watachukulia poa tu. Kama wameandika usikojoe hapa au usimame hapa mtu anakojoa na mtu anasimama au kukaa kabisa wengine na kuchapa usingizi kabisa. Bongo tambalare.
 
Ha ha haa haaaaaaaaaaaa Huku Moshi hatuitaji matangazo kama hayo. We ukitema mate hadharani tu faini 50,000/= Mchagga anavopenda hela hathubutu kunywa chai asubuhi wala habwii ugoro asijetema mate bureeeeeeeeeee. Tangazo hili nooooooooooma sana
 
Aliyeandika tangazo ni mjinga kama tangazo lilivyo la kijinga. Wala halitakiwi popote katika dunia hii ya wastaarabu. Wala hatuhitaji kumfahamu wala kumuona huyo aliyeandika this damn things. He better goes to hell na watu watatupa tu taka pale maana aliyoandika yeye ni taka.
 
Da kwa hilo biti unaweza usimalize hata kulisoma
 
Back
Top Bottom