Masikini_Jeuri
JF-Expert Member
- Jan 19, 2010
- 6,829
- 1,303
Tatizo unawaandikia illiterate wakati illiterate hawajui kusoma.
Hilarious.
Hili bango lazima limetundikwa huko majuu, haiwezekani ikawa bongo na likaandikwa kwa kingereza unless liko Lushoto na limeandikwa na January!!
hahaha kiongozi umenivunja mbavu sana
Mkuu Nemesisi, usivunjike mbavu tu kwa kucheka ungenigongea thanks basi!!!