Vipi huko kwenye nyumba za kupanga hivi ratiba za usafi zinafuatwa?

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Kwenye nyumba nyingi kuna ratiba ya kufanya usafi kama vile usafi wa chooni ,kufagia uwanja n.k
sasa vipi wewe uliko panga je utarabu huo upo na unafuatwa kama ulivyopangwa,share nasi hapa
 
Na Mimi ndio nashangaa humu Mambo ya kupanga na kupangiana zamu za usafi yanatokea wapi Kila mmoja ni anaishi kwenye spaaaace. πŸ˜…πŸ˜…
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…