Vipi huyu domo linfura kama zeze?? Pole TID siamini!

Vipi huyu domo linfura kama zeze?? Pole TID siamini!

Depay

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2015
Posts
6,562
Reaction score
3,905
What happened to This Danganyikan Musician. Those in the know.
 

Attachments

  • 64852882_151576716007755_4549901513715089408_n.jpg
    64852882_151576716007755_4549901513715089408_n.jpg
    13.8 KB · Views: 33
Ulevi ni noma... alafu amenikumbusha ule wimbo wa nani kamwaga Pombe yangu nauliza
 
Nimetazama video madogo kitaani wanasema alifuata fuata jamaa fulani kwa uchokozi, akaishia kupokea kichapo, ila yeye anasema ni jambazi lilimfanyia unyama.
Ndio maisha ya ghetto hayo.
 
Kuna mahusiano heavyweight kati ya madawa (unga) na ugomvi
 
Chidy kisoka kafanya yake hapo kigogo kagongwa ngumi na mbwimbwi zake
 
Duuh! Stop stop! I am gonna pee! You people are making me laugh
 
Back
Top Bottom