Uchaguzi 2020 Vipi jasusi mbobezi, yu hali gani?

Uchaguzi 2020 Vipi jasusi mbobezi, yu hali gani?

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
94,296
Reaction score
122,540
Jasusi mbobezi alidai kuwa atafunga kampeni zake huko kwao.

Sijamsikia tena tokea siku hiyo.

Je, alifanikiwa kuzifunga hizi kampeni zake kama alivyoahidi au?

Na sijaona wala sijasikia popote kuwa leo alipiga kura yake.

Kuna anayejua kinachojiri kwa huyo jasusi wetu mbobezi?
 
Naona dakika ya 89 aliishia kuomba kura humu Jf baada ya hapo anaidumisha ile slogan yao "KAZI NA BATA".

Hii kusema alimaliza "Kazi", Sasa yupo upande wa pili wa slogan anakula "bata".
 
Usipoteze muda kujadili watu ambao wameishi Ikulu tangu wakiwa watoto wa miaka 22mpaka uzee wa miaka 50

Hao hawajui shida wala taabu,Wao wanajua tu usalama wa nchi basi

Achana na huyo mtu,Aliapa mbele ya Nyerere akiwa mtoto wa miaka 21 kuwa atalinda siri za nchi na hatazitoa

Aliahidi siku akisaliti auwawe

Membe hawezi kwenda kinyume na kazi ya utoto wake

Membe amekulia Ikulu kama Mizengo Pinda

Mizengo Pinda na Membe ni watoto wa Ikulu tangu vijana hao achana nao

Waliapa na kuapishwa,waliogeshwa damu ya bendera ya Taifa

Wana technic zote hao hata ukiona wanajifanya vichaa na hamnazo wewe waache kuna kitu ujue wanatafuta

Hao Membe na Pinda kwa mujibu wa kazi zao wanaruhusiwa kuwa machizi na vichaa ili wakunase
 
Yani na mimi muda sio mrefu nilitaka kuuliza vipi kuhusu Jasusi alie wageuka.
 
Bado dk ya 89'..
Wait.
Huyu huku [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
20201028_212743.jpg
 
Usipoteze muda kujadili watu ambao wameishi Ikulu tangu wakiwa watoto wa miaka 22mpaka uzee wa miaka 50

Hao hawajui shida wala taabu,Wao wanajua tu usalama wa nchi basi

Achana na huyo mtu,Aliapa mbele ya Nyerere akiwa mtoto wa miaka 21 kuwa atalinda siri za nchi na hatazitoa

Aliahidi siku akisaliti auwawe

Membe hawezi kwenda kinyume na kazi ya utoto wake

Membe amekulia Ikulu kama Mizengo Pinda

Mizengo Pinda na Membe ni watoto wa Ikulu tangu vijana hao achana nao

Waliapa na kuapishwa,waliogeshwa damu ya bendera ya Taifa

Wana technic zote hao hata ukiona wanajifanya vichaa na hamnazo wewe waache kuna kitu ujue wanatafuta

Hao Membe na Pinda kwa mujibu wa kazi zao wanaruhusiwa kuwa machizi na vichaa ili wakunase
Je Marando?
 
Back
Top Bottom