Elections 2010 Vipi KALAPINA AMEPATA UDIWANI?

msasa

Member
Joined
Nov 27, 2008
Posts
81
Reaction score
1
Wana jf sijapata matokeo ya kalapina naomba mwenye habari zake atupashe
 
Mkuu,mimi ni Legend wa Block 41,watu wemetusnich....

Tumekosa Udiwan,CCM wamechukua,ntatuma fig kamili...
 
Kalapina aligombea udiwani? Haa haaa, kura za masela hazikutosha. Daaamn, he would have made an interesting diwani.
 
Duuuu, ila asife moyo aendelee kuwa karibu na wananchi tu mwaka 2015 anaweza kupata udiwani.:doh:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…