WE ARE ANONYMOUS
JF-Expert Member
- Mar 23, 2015
- 217
- 283
Umenena vyema, japo mimi sio mgeni, ila button haijapewa kipaumbele na hata wewe inawezekana either huna followers au kama unao, hujui wapo wangapi, cha msingi ninachojaribu kuwaza, ni button pamoja na idadi ya followers ionekane hata kwenye hizi threads, kwa kifupi iwe visible kama chuchu za msichana kigoli.Karibu sana mgeni naona kuna chocho hujazipita.
Kitufe kipo ila kimejificha kama sehemu za siri
Sent using Jamii Forums mobile app