Kokwa kavu JF-Expert Member Joined Jan 3, 2012 Posts 220 Reaction score 41 Sep 26, 2012 #1 mwenye taarifa lini data entry ya nida inaanza lin anijulishe
herrypeter1 JF-Expert Member Joined Jan 17, 2009 Posts 223 Reaction score 30 Sep 26, 2012 #2 Wameisha anza
nziriye JF-Expert Member Joined Jan 23, 2011 Posts 1,050 Reaction score 363 Sep 26, 2012 #3 Watu wapo kambini,we ulikuwa wapi?
Rogie JF-Expert Member Joined Nov 22, 2010 Posts 7,586 Reaction score 6,697 Sep 26, 2012 #4 Mkuu unaishi TZ gani..jamaa wapo mzigoni kabla hata Dar hawajaanza kuandikisha vitambulisho vya utaifa.
Mkuu unaishi TZ gani..jamaa wapo mzigoni kabla hata Dar hawajaanza kuandikisha vitambulisho vya utaifa.
M MASHARL Senior Member Joined Sep 26, 2012 Posts 120 Reaction score 9 Sep 26, 2012 #5 kaka kama ulifanya enterview mwezi wa nane bado hawajaitwa justwait lazima muitwe kwa ajili ya practical enterview baada ya oral,that is all
kaka kama ulifanya enterview mwezi wa nane bado hawajaitwa justwait lazima muitwe kwa ajili ya practical enterview baada ya oral,that is all
toghocho JF-Expert Member Joined Mar 16, 2011 Posts 1,172 Reaction score 198 Sep 27, 2012 #6 hee, kumbe kulikuwa na hiyo kazi, duh!!
Kokwa kavu JF-Expert Member Joined Jan 3, 2012 Posts 220 Reaction score 41 Sep 27, 2012 Thread starter #7 nziriye said: Watu wapo kambini,we ulikuwa wapi? Click to expand... Kambini wap wakati waliairisha kisa sensa usikute unachanganya na nbs
nziriye said: Watu wapo kambini,we ulikuwa wapi? Click to expand... Kambini wap wakati waliairisha kisa sensa usikute unachanganya na nbs
Kokwa kavu JF-Expert Member Joined Jan 3, 2012 Posts 220 Reaction score 41 Sep 27, 2012 Thread starter #8 MASHARL said: kaka kama ulifanya enterview mwezi wa nane bado hawajaitwa justwait lazima muitwe kwa ajili ya practical enterview baada ya oral,that is all Click to expand... Asante sana
MASHARL said: kaka kama ulifanya enterview mwezi wa nane bado hawajaitwa justwait lazima muitwe kwa ajili ya practical enterview baada ya oral,that is all Click to expand... Asante sana
Kokwa kavu JF-Expert Member Joined Jan 3, 2012 Posts 220 Reaction score 41 Sep 28, 2012 Thread starter #9 kuna uwezekano kuitwa tena maana nimesikia program inaanza j3 alafu till nao cjaitwa