take it from me course ya orthopaedic technology kwa tanzania hatuna chuo kinacho toa course hii genarally nafasi kwa hii zipo kwani hakuna ushindani mkubwa na hata ukiangalia nafasi za kaz kwenye afya hiyo huwa haitajwi mara nyingi hospitali kubwa huwa wanaamua kumteua mtu kama nurse akasome hiyo kozi ni sawa na dialysis tech. Kwetu hiyo bado sana