Vipi kuhusu hii biashara ya Maxmalipo, Selcom na nyinginezo zinazofanana?

Green_Touches

Member
Joined
Dec 25, 2016
Posts
67
Reaction score
18
Heshima kwenu wadau,

Kuna kiasi nimepata hapa, nahitaji kuwekeza katika hizi biashara za Maxmalipo na Selcom, kwa wazoefu tupeane ujuzi ipi ni bora na kamisheni zake ziko vipi.

Karibuni.
 
Hii biashara unatakiwa huwe una utaalam sana wa IT na stuff wako otherwise itakula kwako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…