mkuu hiyo kitu mbona ipo sana.kuna baadhi ya memory card,hard disc na cd mm nishawahi kutana nazo kamwe huwezi copy wamezizuia kufanya hivyo.Habari zenu Wakuu,
Kumekuwa na tatizo la Wasanii na wafanyabiashara mbali mbali wakilalamika kuhusu swala la kuibiwa (kufojiwa) kwa kazi zao.
Ivi ni kweli mpaka sasa WANASAYANSI wameshindwa kutengeneza CD au Memory Card ambazo haziruhusu (zinazozuia) kucopy kitu chochote kilichohifadhiwa ndani yake?
Kutokana na kukua kwa teknolojia SIDHANI kama swali hilo litakosa majibu ya uhakika.
Karibuni Tujadili.
Sasa kwanini wasizitumie hizo CD ili kuepusha hasara kwenye biashara zao?Zipo CD nyingi ambazo huwa zinafunga ukiipata kuwezi kuibani ila mara nyingi huwa hazitengenezwi na makampuni makubwa, sasa sijui watengenezaji wake wanazidi teknolojia ya hayo makampuni au la?
Nadhani ni kudharau wanchokifanya watanzania maana kuna jamaa ana kistudio chake mtaani anatengeneza picha za harusi na sherehe mbali mbali walau CD zake huwezi copy amezifunga so hata akikutolea copy 100 usitegemee kuzibani never labda urudi kwake na kumwambia akuongezee copy nyingine. Watu kama hawa ndio wanatakiwa kutumiwa lakini utakuta watanzania sisi wenyewe tunawadharau na kuwaone watu wa nje ndio wanafaa kwa kila kituSasa kwanini wasizitumie hizo CD ili kuepusha hasara kwenye biashara zao?
Duuh hapa naona kuna elimu pana sana... au huenda Hizo CD ni special au ni program anayotumia? Cc. Chief-MkwawaNadhani ni kudharau wanchokifanya watanzania maana kuna jamaa ana kistudio chake mtaani anatengeneza picha za harusi na sherehe mbali mbali walau CD zake huwezi copy amezifunga so hata akikutolea copy 100 usitegemee kuzibani never labda urudi kwake na kumwambia akuongezee copy nyingine. Watu kama hawa ndio wanatakiwa kutumiwa lakini utakuta watanzania sisi wenyewe tunawadharau na kuwaone watu wa nje ndio wanafaa kwa kila kitu
si rahisi kama unavyofikiri, wengi wenye vibanda vya cd uwezo wao ni mdogo ndio maana wanashindwa kuzi duplicate hizo cd, ila kwa mtu yoyote mwenye uwezo wa kawaida anaejua angalau kugoogle anaweza kuzi duplicate.Nadhani ni kudharau wanchokifanya watanzania maana kuna jamaa ana kistudio chake mtaani anatengeneza picha za harusi na sherehe mbali mbali walau CD zake huwezi copy amezifunga so hata akikutolea copy 100 usitegemee kuzibani never labda urudi kwake na kumwambia akuongezee copy nyingine. Watu kama hawa ndio wanatakiwa kutumiwa lakini utakuta watanzania sisi wenyewe tunawadharau na kuwaone watu wa nje ndio wanafaa kwa kila kitu