wiseboy JF-Expert Member Joined Mar 22, 2011 Posts 2,930 Reaction score 3,305 Jul 29, 2012 #1 habari wakuu, nimesikia kuna chuo kipya cha ualimu huko mafinga karbu na kambi ya jeshi JKT, naomba kuuliza wanatoa dip au certificate? je wanafundisha masomo gani? wataanza lini? naomba msaada wenu coz nina dogo hapa nataka nimtupe huko.
habari wakuu, nimesikia kuna chuo kipya cha ualimu huko mafinga karbu na kambi ya jeshi JKT, naomba kuuliza wanatoa dip au certificate? je wanafundisha masomo gani? wataanza lini? naomba msaada wenu coz nina dogo hapa nataka nimtupe huko.
Triple G JF-Expert Member Joined Aug 12, 2011 Posts 3,018 Reaction score 4,369 Jul 29, 2012 #2 ngoja nifuatilie nitakuletea jibu mkuu.