vipi kuhusu internet ya tigo?

vipi hizo bundle zinaweza kutumiwa na mtu anayetumia cellphone as a modem?
 
vipi hizo bundle zinaweza kutumiwa na mtu anayetumia cellphone as a modem?

kwa airtel unaweza kwa sababu mimi mwenyewe ni mdau na huwa natumia bundle hizohizo kwa kutumia modem au simu, Nadhani hata kwa TIGO itakuwa the same thing.
 
ukitaka kufaidi we chakachua modem tu uweke line yoyote mda wowote...haya mambo ya kulimit line moja yashapitwa na wakati...na saiz i working on a project ya kuchakachua bandwidth usage...we ngoja tu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…