matyhans
JF-Expert Member
- Jan 3, 2013
- 611
- 403
jaman mimi ni muhitimu wa kidato cha nne mwaka 2012 ninachoomba kuuliza ni kwamb nasikia kuna faculty ya maswala ya gesi ambayo imeanzishwa pale (d.i.t) na (m.u.s.t) na mimi nilijaza technical education as a first selection na katika zile fomu tulizojaza kulikuwa hakuna hiyo inshu ya maswala ya gesi sasa ni kwamba je hii inshu ya gesi watatuambia tuchague tukifika chuo au inakuwaje?