mbota JF-Expert Member Joined Feb 24, 2012 Posts 1,054 Reaction score 585 Mar 1, 2015 #1 Kama kuna mtu anayehusika na kiwanda cha simba cement au anayejua naomba anipe taarifa. Wanatangaza punguzo kubwa la bei ya hii bithaa yao Sh. 11,800/= kwa mfuko. Mimi nipo moshi nahitaji cement, msaada tafadhali. :wave::wave::wave:
Kama kuna mtu anayehusika na kiwanda cha simba cement au anayejua naomba anipe taarifa. Wanatangaza punguzo kubwa la bei ya hii bithaa yao Sh. 11,800/= kwa mfuko. Mimi nipo moshi nahitaji cement, msaada tafadhali. :wave::wave::wave: