mazaga one
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 2,514
- 4,042
Wakuu hebu jaribuni kuingia kwny profile zenu washatufungulia Selma orodha ya majina undo bado
but jamaa wako Slow sana kuya-approve hayo majina,coz afadhal ya batch 2 ilikuw na watu wengi (685) but hii 373 na jamaa zngu wametuma barua tangu march but no names displayed. Lakin najua Mungu mkubwa everythng gonna be alright.
Ni kweli mkuu me mwenyewe nimepeleka barua sasa mwezi yapita lakini jina langu bado hata
jamani wadau mi nataka kufanya tena application jee kuna batch nyingine..? naombeni msaada wenu wakuu
Cha kufanya andika barua yako ukieleza kwann hukujiunga na chuo pind ulipo chaguliwa au kwanini uliacha pia ambatanisha na barua ya utambulisho toka chuo ulichochaguliwa hapo awali kisha tuma kwa email hata mara 3 ukitofautisha mm nilituma barua tarehe 3 mwez huu bt jna langu limetoka jitahidini mtafanikiwa ndugu zangu
uliambatanisha na barua ya utambulisho toka chuo ulicho chaguliwa hapo awali?
ulikumbuka kuandika index namba ya form 4? maana kama ulipeleka barua kupindi cha awali kabla ya lile tangazo linalotaka comfirmation letter,ombi lako litakua lishafanyiwa kazi kwa sababu kuna siku walisema wale wote waliotuma barua kabla ya lile tangazo hawatadhurika na vigezo vipya vya tangazo lile,sasa wale watakaoleta barua baada ya lile tangazo kutoka ndio litawabana.Au labda kuna bahati mbaya imejitokeza kuwa mvumilivu tu angalia batch ijayo