M mjasiria JF-Expert Member Joined Jan 10, 2011 Posts 4,156 Reaction score 1,862 Sep 16, 2011 #1 Heshima mbele wakuu. Nina mpango wa kuvuta haka kagari, naomba yeyote mwenye uzoefu na hii model atupe uzoefu wake hapa, hususani kuhusu matumizi yake ya wese, bei zake na uimara wake. Natanguliza shukurani zangu.
Heshima mbele wakuu. Nina mpango wa kuvuta haka kagari, naomba yeyote mwenye uzoefu na hii model atupe uzoefu wake hapa, hususani kuhusu matumizi yake ya wese, bei zake na uimara wake. Natanguliza shukurani zangu.
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Joined Feb 4, 2009 Posts 76,107 Reaction score 160,001 Sep 16, 2011 #2 Tuzuri sana, ukipata ka silinda tatu utaenda hadi km 21 kwa lita
M mjasiria JF-Expert Member Joined Jan 10, 2011 Posts 4,156 Reaction score 1,862 Sep 16, 2011 Thread starter #3 Hivi wanaJF ni kweli kuwa ukiaondoa Bujibuji hakuna mtu mwingine mwenye habari zaidi kuhusu hili suala??!!!!!!!!!!!
Hivi wanaJF ni kweli kuwa ukiaondoa Bujibuji hakuna mtu mwingine mwenye habari zaidi kuhusu hili suala??!!!!!!!!!!!
Preta JF-Expert Member Joined Nov 28, 2009 Posts 24,320 Reaction score 18,852 Sep 16, 2011 #4 mjasiria said: Hivi wanaJF ni kweli kuwa ukiaondoa Bujibuji hakuna mtu mwingine mwenye habari zaidi kuhusu hili suala??!!!!!!!!!!! Click to expand... hajakupa msaada unaostaili?
mjasiria said: Hivi wanaJF ni kweli kuwa ukiaondoa Bujibuji hakuna mtu mwingine mwenye habari zaidi kuhusu hili suala??!!!!!!!!!!! Click to expand... hajakupa msaada unaostaili?
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Joined Feb 4, 2009 Posts 76,107 Reaction score 160,001 Sep 16, 2011 #5 Mtoa mada anaona sifananii na makenika. Ushauri mwingine mwepesi aende wikipedia watamsaidia