Kwenye pitapita zangu insta nikakutaja na hii video, nmeona wengi sana wanamsifia, vipi Kuna anaemjua huyu mwamba?? Tupeane connection kama ni uhakika kama wanavyomsifu au vipi.
Na nmesikia Kuna mwamba MWINGINE anaitwa SOKWE, naskia naye ni fundi balaa