Vipi Mambo?:Kichaka na Mkwere....

Rev. Kishoka

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Posts
4,526
Reaction score
1,540
Wawili walipokutana...
 
Maswali yatakayoulizwa ni manne tu. Waandishi wa nje mawili, wa ndani mawili. Waandishi walikuwa zaidi ya 130...Africom Centre is one of the burning issue...hivi lingeulizwa lingetifua diplomasia...?
 
mkuu-naomba ufafanuzi kuhusu part ya maswali na majibu,je yalikuwa kavukavu au waheshimiwa walipewa kabla hayo maswali?najua part ya mwanzo iliandikwa kabla.
Otherwise swali kuhusu Obama-JK amelijibu vizuri sana.
 
Nimefurahia sana jibu la Kikwete kuhusu Obama; so diplomatic. Ila ameniangusha kumu-address Bush directly kuwa "his Excellency, thank you, thank you very much for those excellent statements." badala ya kusema "Your Excellency, thank you, thank you very much for those excellent statements." Anyway, hata hivyo hilo ni jambo dogo sana kulinganisha na majibu yake mazuri kwa maswali aliyoulizwa.
 
Of course Kikwete ndio alivyotakiwa kujibu. Publicly hawezi kuonyesha upendeleo wake...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…