Elections 2010 Vipi matokeo Arusha, Kigoma, Mtwara, Rukwa, Tabora?

Elections 2010 Vipi matokeo Arusha, Kigoma, Mtwara, Rukwa, Tabora?

Preta

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2009
Posts
24,320
Reaction score
18,852
Wadau mlioko mikoa hii...hebu tupeni habari zinavyoendelea huko...kumekuwa kimya sana
 
A town tutawapatia updates shortly! Kifupi kura za Ubunge na Uraisi CHADEMA imefanya vizuri sana. Udiwani ni kata 9 ndio zinaelekea kwenda kwa CHADEMA kati ya 19. Wacha tupate figures
 
Arusha mjini CHADEMA juu kla mahal.Mh Lema ndo mbunge wa arusha mjini
 
CH ten ndo wametoka tangaza apa inaonekana CCM wameangukia pua
 
kaloleni dalili Kileo wa ccm chali data shortly
 
asante sana hii inatia moyo kwa kweli.....
 
Back
Top Bottom