balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,771
- 14,294
Habari uliyonayo unaitaka kutoka kwetu.Naomba mwenye taarifa,atwambie Mbezi high school Kuna nini? Hii shule iko Dar Es Salaam kwa Yusufu.Tetezi zinadai kwamba walimu baadhi wa shule hiyo wamewageuza wanafunzi wachumba na wake zao.Mwenye taarifa kamili atujuze.
Kumbuka umbea ni taarifa sahihi ambazo zimepelekwa mahali siyo sahihi. Msaidie mleta taarifa kufikisha sehemu sahihi.Hii siyo taarifa. Ni umbea
kama kuna ukweli basi ni hatari sana kwa watoto wetu.Naomba mwenye taarifa,atwambie Mbezi high school Kuna nini? Hii shule iko Dar Es Salaam kwa Yusufu.Tetezi zinadai kwamba walimu baadhi wa shule hiyo wamewageuza wanafunzi wachumba na wake zao.Mwenye taarifa kamili atujuze.
Inawezekana wamemaliza kidato cha nne, hakuna ubaya kuwaandaa maisha ya mitaani.Naomba mwenye taarifa,atwambie Mbezi high school Kuna nini? Hii shule iko Dar Es Salaam kwa Yusufu.Tetezi zinadai kwamba walimu baadhi wa shule hiyo wamewageuza wanafunzi wachumba na wake zao.Mwenye taarifa kamili atujuze.
Nendeni shule husika mtapata habari kamili ama nenda kituo cha polisi Gogoni taarifa ziko pale na watuhumiwa walifikishwa hapo.Uliza ikawaje ,nimemaliza.Hii siyo taarifa. Ni umbea
Toeni taarifa baada ya kuwa na uhakika nazo la sivyo hiyo ni tetesi tuNaomba mwenye taarifa,atwambie Mbezi high school Kuna nini? Hii shule iko Dar Es Salaam kwa Yusufu.Tetezi zinadai kwamba walimu baadhi wa shule hiyo wamewageuza wanafunzi wachumba na wake zao.Mwenye taarifa kamili atujuze.
Sio wewe tu mkuu mi ningekuwa segerea sasa hivinilikataa katu katu kuwa mwalimu aisee.......yaani vibweka vya visichana.......sijui ningechomokaje.....