Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Tukutane dimbaniDirisha la usajili linaendelea kushika kasi huku timu za Yanga na Simba zikiwa zinaendelea kushusha vyuma vyao .
vipi mdau usajili unakupa picha gani kwenye msimu mpya 2024\2025
Iko hivi, Simba msimu uliopita walisajili jumla ya wachezaji 15 katika madirisha yote mawili , msimu ubao anza hadi sasa wamesajili wachezaji 13 ina maana ndani ya mwaka mmoja ndani ya Simba wameingia wachezaji jumla ya 27 na kuondoka wachezaji Kwa idadi hiyo hiyo! Kwa maana nyingine Simba imevunja uti wa mgongo wa timu na inajenga timu mpya, katika mazingira nayo, watahitaji muda wa kutosha , wa misimu kadhaa ili kuwa na timu imara, wakati nayo yanatokea kwa Simba,Yanga wao, wanatimu iliyo imara kwahiyo wanarekebisha pale palipo onyesha udhaifu ili kuwa na timu imara zaidi.Huwezi kuwa na timu imara kwa kusajili na kuacha wachezaji 27 ndani ya mwaka mmoja, huo ni utani, soka haliko hivyo!Simba amesajili wachezaji wapya 13
Yanga amesajili wachezaji wapya 4
Kwa wapenzi wa soka safi picha inayotujia ni ya kutisha mnoo tunaogopa hata kuwaambia ukweli maana mtalia thanaa
Kila timu inasajili kwa uwezo wke na mahitaji yao.Dirisha la usajili linaendelea kushika kasi huku timu za Yanga na Simba zikiwa zinaendelea kushusha vyuma vyao .
vipi mdau usajili unakupa picha gani kwenye msimu mpya 2024\2025
Ni kweli mkuu, mgongo wa timu unaundwa na namba 1,5,6,8 na 9. Sasa hapa kote Simba amesuka upya kwa msimu ujao, sio rahisi Simba kuurejesha Ubingwa.Iko hivi, Simba msimu uliopita walisajili jumla ya wachezaji 15 katika madirisha yote mawili , msimu ubao anza hadi sasa wamesajili wachezaji 13 ina maana ndani ya mwaka mmoja ndani ya Simba wameingia wachezaji jumla ya 27 na kuondoka wachezaji Kwa idadi hiyo hiyo! Kwa maana nyingine Simba imevunja uti wa mgongo wa timu na inajenga timu mpya, katika mazingira nayo, watahitaji muda wa kutosha , wa misimu kadhaa ili kuwa na timu imara, wakati nayo yanatokea kwa Simba,Yanga wao, wanatimu iliyo imara kwahiyo wanarekebisha pale palipo onyesha udhaifu ili kuwa na timu imara zaidi.Huwezi kuwa na timu imara kwa kusajili na kuacha wachezaji 27 ndani ya mwaka mmoja, huo ni utani, soka haliko hivyo!
Simba inazinguaDirisha la usajili linaendelea kushika kasi huku timu za Yanga na Simba zikiwa zinaendelea kushusha vyuma vyao .
vipi mdau usajili unakupa picha gani kwenye msimu mpya 2024\2025
Ujinga ni kwamba tunashabikia timu mbili tu ndio maana soka la bongo halikui.Kama matumizi ya BAHASHA yatadhibitiwa ,,
Basi itoshe kusema kuna timu itajuta kumnunuwa CHAMA 🤣🤣