Lord OSAGYEFO
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 3,085
- 4,890
Nilikuwa nauliza tu corona haichagui msongamano uwe lazima au usio wa lazima. Tarehe 25/7/2021 huko Kigoma kuna mechi kubwa sana baina ya vilabu vikubwa nchini.
Mechi hiyo huenda ikashuhudiwa na watazamaji wengi na wengini wa nchi za jirani kama Burundi.
Swali kwa Wizara ya Afya
Vipi msongamano wa mashabiki wa mechi hiyo na maambukizi ya corona?
Mechi hiyo huenda ikashuhudiwa na watazamaji wengi na wengini wa nchi za jirani kama Burundi.
Swali kwa Wizara ya Afya
Vipi msongamano wa mashabiki wa mechi hiyo na maambukizi ya corona?