Lord OSAGYEFO
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 3,085
- 4,890
Safi sana Ngoja tupate Virusi kutoka Burundi ili Akili itulieUle ni msongamano wa lazima.
Mboma waziri ameeleza vizuri tu.
Nimelipenda hili jibu....hahahahahaKama neno "katiba mpya" halitamkwi kwenye mkusanyiko hapo corona haienei.
Corona ya Tanzania inaenea tu kama katiba mpya ikitajwa.
Hivi misongamano ya lazima huwa haienezi corona?Ule ni msongamano wa lazima.
Mboma waziri ameeleza vizuri tu.
Mashabiki wa Yanga na Simba huwa hawaongelei Katiba mpya, kwa hiyo wao hawawezi kupata au kusababisha KoronaMechi hiyo huenda ikashuhudiwa na watazamaji wengi na wengini wa nchi za jirani kama Burundi.
Swali kwa Wizara ya Afya
Vipi msongamano wa mashabiki wa mechi hiyo na maambukizi ya corona?