William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,400
KURA HAZIKUTOSHA.
Balozi Kagesheki CCM - 18491
WILFRED LWAKATARE CHADEMA - 13800
- Wakuu heshima mbele sana, naomba kuuliza vipi mgombea wa Chadema kule Bukoba, ambaye pia huko nyuma aliwahi kuwa mbunge, na pia aligombea tena mwaka huu kupitia Chadema Ndg. Rwakatare, mbona hakuna tena habari zake na huu uchaguzi?
FMEs!
Mkuu FME,
Lwakatare walimchakachua mchana kweupeee, tena hadi aibu kubwa! Kura za Dr. wa ukweli ninyingiiiiiii afu eti ubunge Kagasheki kamzidi kwa kura za kiganjani... haingiii akilini, ni uchakajuaji tu!
Kwa kifupi BKB mjini ni kama ilivo shy town, Karagwe, Kibaha, Segerea and the list ......
- Rwabugiri heshima yako bro, fanya utafiiti wa kina kwanza kama kweli unavyosema ndivyo ilivyokuwa, kwa nini Rwakatare alikimbia kabla ya matokeo kutangazwa?
Es!
- Rwabugiri heshima yako bro, fanya utafiiti wa kina kwanza kama kweli unavyosema ndivyo ilivyokuwa, kwa nini Rwakatare alikimbia kabla ya matokeo kutangazwa?
Es!
Alikimbia kwenda wapi? umeuliza maswali na majibu umepewa sasa unalaumu hakufanya utafiti wa kutosha........je wewe utafiti wako uko wapi? N akama upo bsi uliuliza maswali ya nini? yaelekea unayo majibu kibindoni na unatusanifu hapa..............
kwa hiyo kumbe wewe unajua kila kitu kuhusu kushindwa ama kushinda kwa Rwakatale siyo
- Rwabugiri heshima yako bro, fanya utafiiti wa kina kwanza kama kweli unavyosema ndivyo ilivyokuwa, kwa nini Rwakatare alikimbia kabla ya matokeo kutangazwa?
Es!
- Ningekuwa ninajua ningesema tayari, kama hujui basi subiri wanaojua watakuja tu hapa maana this is JF na huyu RWakatare ni mgombea wa Chadema wapo wanaojua kilichotokea!
- Wengine mtanisamehe sana maana siwezi kujibu longo longo zisizo na tija kwa taifa, uchaguzi umeisha walioshindwa wameshindwa walioshinda wameshinda tunasonga mbele, hatuangalii nyuma ama sivyo tutaanza kulia lia kuibiwa kura ndio maana huwa tunaangalia mbeleee!
Es!
baada ya kutemwa na cuf, lwakatare alidhani kuhamia chadema angechaguliwa kuwa mbunge lakini wananchi wamempiga chini sasa hana cha kuongea na anahitaji msaada wa chadema angalau wampe kacheo fulani ili kumsitiri maana kwa kweli jamaa anaadhirika!!!!
- Wakuu heshima mbele sana, naomba kuuliza vipi mgombea wa Chadema kule Bukoba, ambaye pia huko nyuma aliwahi kuwa mbunge, na pia aligombea tena mwaka huu kupitia Chadema Ndg. Rwakatare, mbona hakuna tena habari zake na huu uchaguzi?
FMEs!
- Rwabugiri heshima yako bro, fanya utafiiti wa kina kwanza kama kweli unavyosema ndivyo ilivyokuwa, kwa nini Rwakatare alikimbia kabla ya matokeo kutangazwa?
Es!
- Ningekuwa na majibu nsingeuliza maswali, kama huna majibu tulia pembeni wapo watakuja wenye majibu huna sababu ya kuleta jazba hapa kwa ishu ambayo huijui!
Es!
- Ningekuwa ninajua ningesema tayari, kama hujui basi subiri wanaojua watakuja tu hapa maana this is JF na huyu RWakatare ni mgombea wa Chadema wapo wanaojua kilichotokea!
- Wengine mtanisamehe sana maana siwezi kujibu longo longo zisizo na tija kwa taifa, uchaguzi umeisha walioshindwa wameshindwa walioshinda wameshinda tunasonga mbele, hatuangalii nyuma ama sivyo tutaanza kulia lia kuibiwa kura ndio maana huwa tunaangalia mbeleee!
Es!
- Sawa sawa mkuu, pole pole tunasogelea ukweli, pamoja sana hapo!
Es!
haya ndiyo majibu yaliyo mfukoni mwakobaada ya kutemwa na cuf, lwakatare alidhani kuhamia chadema angechaguliwa kuwa mbunge lakini wananchi wamempiga chini sasa hana cha kuongea na anahitaji msaada wa chadema angalau wampe kacheo fulani ili kumsitiri maana kwa kweli jamaa anaadhirika!!!!
- Nimesema sina muda wa kujibu longo longo zisizo na tija kwa taifa, pole sana mkuu!
Es!
Baada ya kushndwa yuko dom anapeperusha bendera ya CHADEMA kwenye gari yake huku akishuhudia Kagasheki akiapishwa.- Wakuu heshima mbele sana, naomba kuuliza vipi mgombea wa Chadema kule Bukoba, ambaye pia huko nyuma aliwahi kuwa mbunge, na pia aligombea tena mwaka huu kupitia Chadema Ndg. Rwakatare, mbona hakuna tena habari zake na huu uchaguzi? FMEs!
Baada ya kushndwa yuko dom anapeperusha bendera ya CHADEMA kwenye gari yake huku akishuhudia Kagasheki akiapishwa.
Jamaa kaweka bendera 2 za CDM kwenye gari anayoendesha. Dom panapendeza kwa vi2ko wiki 2 hizi.- Ahsante mkuu! Es!
Jamaa kaweka bendera 2 za CDM kwenye gari anayoendesha. Dom panapendeza kwa vi2ko wiki 2 hizi.