Vipi mipango ya Jerry Silaa ndio imeisha

dr namugari

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2022
Posts
10,466
Reaction score
18,206
Itakumbukwa ni mwezi tu umepita bajet ya wizara ya ardhi chini ya Jery Silaa imepitishwa na baada kupitia jamaa a alianza na gia kali ya kuzunguka nch nzima kurudisha ardh iliyo ibiwa na matapeli wa ardhi walio tapakaaa nchi nzima

Nimeamin matapeli wakikuamulia wanaweza kukutoa kweny nafsi wakaweka mtu wa takao na mamb yao yaende

Poleni sana mlio kuwa mnamtegemea silaa awarudishie ardh yenu ndio hvyo hakik tu mtegemee mungu pekee

PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari
 
Jamaa wamemtoa kiaina na wamechanganya na sakata la Nape , kuua kabisa mjadala
 
Itakumbukwa ni mwezi tu umepita bajet ya wizara ya ardhi chini ya jery silaa imepitishwa na baada kupitia jamaa a alianza na gia kali ya kuzunguka nch nzima kurudisha ardh iliyo ibiwa na matapeli wa ardhi walio tapakaaa nchi nzima

Nimeamin matapeli wakikuamulia wanaweza kukutoa kweny nafsi wakaweka mtu wa takao na mamb yao yaende

Poleni sana mlio kuwa mnamtegemea silaa awarudishie ardh yenu ndio hvyo hakik tu mtegemee mungu pekee
Mtu yoyote anafanya kazi kwa makini, uadilifu, uaminifu, mchapakazi, serious, mkweli.

Haraka anashushwa cheo, kufukuzwa au kuwekwa pembeni au kupumguziwa mamlaka. SSH anapenda vilaza, hataki mtu yoyote anayewapigania Wananchi kwa dhati.

List ni ndefu kama Kalemani, Lukuvi, Slaa, Kabudi na wengine wengi.
 
Nimechukia sana alivyohamishwa
 
Mama ana furuga sana wizara hatk Watu wajuaji au silaa kuna ardh nae amejimilikisha kininja
 
Mtu yoyote anafanya kazi kwa makini, uadilifu, uaminifu, mchapakazi, serious, mkweli.

Haraka anashushwa cheo, kufukuzwa au kuwekwa pembeni au kupumguziwa mamlaka. SSH anapenda vilaza, hataki mtu yoyote anayewapigania Wananchi kwa dhati.

List ni ndefu kama Kalemani, Lukuvi, Slaa, Kabudi na wengine wengi.
Hao wote uliowataja walikuwa wachapa kazi hasa.

Vipi, na Makonda naye ajiandae?
 
Back
Top Bottom