dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,466
- 18,206
Mtu yoyote anafanya kazi kwa makini, uadilifu, uaminifu, mchapakazi, serious, mkweli.Itakumbukwa ni mwezi tu umepita bajet ya wizara ya ardhi chini ya jery silaa imepitishwa na baada kupitia jamaa a alianza na gia kali ya kuzunguka nch nzima kurudisha ardh iliyo ibiwa na matapeli wa ardhi walio tapakaaa nchi nzima
Nimeamin matapeli wakikuamulia wanaweza kukutoa kweny nafsi wakaweka mtu wa takao na mamb yao yaende
Poleni sana mlio kuwa mnamtegemea silaa awarudishie ardh yenu ndio hvyo hakik tu mtegemee mungu pekee
Ila kuna mtu Alionya huku huku kuhusu utendaji wa Jerry silaa sijui ni wew naona Leo yamemkutaSilaa ni mjinga
HajakuzidiSilaa ni mjinga
Mama ana furuga sana wizara hatk Watu wajuaji au silaa kuna ardh nae amejimilikisha kininjaMtu yoyote anafanya kazi kwa makini, uadilifu, uaminifu, mchapakazi, serious, mkweli.
Haraka anashushwa cheo, kufukuzwa au kuwekwa pembeni au kupumguziwa mamlaka. SSH anapenda vilaza, hataki mtu yoyote anayewapigania Wananchi kwa dhati.
List ni ndefu kama Kalemani, Lukuvi, Slaa, Kabudi na wengine wengi.
Hao wote uliowataja walikuwa wachapa kazi hasa.Mtu yoyote anafanya kazi kwa makini, uadilifu, uaminifu, mchapakazi, serious, mkweli.
Haraka anashushwa cheo, kufukuzwa au kuwekwa pembeni au kupumguziwa mamlaka. SSH anapenda vilaza, hataki mtu yoyote anayewapigania Wananchi kwa dhati.
List ni ndefu kama Kalemani, Lukuvi, Slaa, Kabudi na wengine wengi.