Vipi Miss N.Lekangai,utahitaji kampani new year 2018?

Potatoes

Member
Joined
Aug 26, 2016
Posts
78
Reaction score
79
Huyu dada mrembo aitwaye Naisujaki Lekangai alikaribisha watu wa kumpa kampani mwaka mpya wa 2017.Vidume tulijikoku kupata hiyo chansi ila ni mmoja tu aliyefanikiwa.Sasa dada safari hii utakaribisha tena maombi au vipi?Nataka niwahi nisizidiwe ujanja kama mwaka jana.Anyway, mengi siandiki ila nakuja PM.
 
Hahahahaha...sijamuona siku nyng huyu bibie
 
Hebu niache babu ee! Wafikiri nilianzisha nanenane ili kila mwaka iwepo? Tupo bize na shughuli za maana sio huo upuuzi unaotaka kuendekeza. Nyooo!
Ukija PM nakuweka hadharani potelea mbali mods wakiniban!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…