Vipi mmenusurika homa na kikohozi?

Vipi mmenusurika homa na kikohozi?

mwanyaluke

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2015
Posts
704
Reaction score
2,435
Wakuu habari zenu!

Nimechoka sana; nimekuwa nikiugua homa na kikohozi tangu Alhamisi, hivyo sikuweza kupita kwenye vijiwe vyangu. Leo na jana nimepata simu nyingi kuulizia kama nitafika kazini kesho. Naomba unisaidie pesa kidogo kwa ajili ya kujitibia, maana naumwa mimi na wanangu pia.

Najiuliza, je, huu ugonjwa umesambaa kote Njombe au ni nchi nzima? Watu wengi wanalalamika kuhusu homa, kikohozi na mwili kuhisi baridi.
 
Mie imenikumba hii Hali kwa wiki nzima. Nikajua ni matokeo ya January Hadi Juni nilikuwa visiwani huko ukara nakula kimasihara Kila mara.

Nilikuwa nimeshasubiria nikiendesha tu naenda kuthibitisha na kujisajiri mpango WA kula pipi deile mpaka nitakaporestika.

Sasa kahofu kamepungua.
 
Duh hatari
 
Kamua limao changanya na mav ya ngunguruwe koroga mpaka yawe meusi kisha subiri ya tuame kwa dakika 15, tumia vijiko 2 kwa siku
 
Kuna huu upepo wa mafua makali na kikohozi. Hapa washapigwa watatu sijui who is next mimi ama nani?
 
Back
Top Bottom