mwanyaluke
JF-Expert Member
- Jan 22, 2015
- 704
- 2,435
Duh hatariMie imenikumba hii Hali kwa wiki nzima. Nikajua ni matokeo ya January Hadi Juni nilikuwa visiwani huko ukara nakula kimasihara Kila mara.
Nilikuwa nimeshasubiria nikiendesha tu naenda kuthibitisha na kujisajiri mpango WA kula pipi deile mpaka nitakaporestika.
Sasa kahofu kamepungua.